Pages

Showing posts with label news. Show all posts
Showing posts with label news. Show all posts

Uoto wa asili shinyanga

Juhudi za kuhifadhi uoto wa asili na misitu Shinyanga NGITILI ni eneo maalumu ambalo linatengwa kwa ajili ya kuhihadhi uoto wa asili na misitu. Hizi ni juhudi ambazo zinafanywa katika nchi za Afrika ili kuweza kukabiliana na tatizo la mabadiliko ya Nchini Tanzania katika mkoa wa Shinyanga zaidi ya wakazi 50 wamefanikiwa kuhifadhi NGITILI baada ya mradi wa majaribio wa kupunguza uzalishaji wa hewa ukaa unaotokana na ukataji miti hovyo na uharibifu wa misitu MKUHUMI kufanyika kwa majaribio kuanzia mwaka 2009 hadi 2014 unaotekelezwa kwa ubia kati...
comments